Enrolment options
SWA1142: Utangulizi wa Lugha ya Kiswahili
Trimester 1
Somo hili ni la Utangulizi wa Lugha ya Kiswahili. Linazingatia dhana za lugha, mawasiliano, isimu, fonetiki na fonolojia ya Kiswahili na historia ya Kiswahili.