Enrolment options
SWA2141: MOFOLOJIA YA KISWAHILI (DTP)
Arts and Languages
Moduli hii (SWA2141) inahusu Mofolojia ya Kiswahili. Ni moduli inayolenga kumwezesha mwanafunzi kufanya uchunguzi wa kina katika kueleza na kufafanua muundo wa lugha ya Kiswahili. Hivyo, Moduli hii inazingatia sehemu yenye kugusia kategoria za maneno ya Kiswahili au aina za maneno ya Kiswahili, Muundo wa nomino, vivumishi, viwakilishi na vitenzi. Aidha, ili kuelewa vizuri maumbo ya maneno ya Kiswahili moduli hii inazingatia pia sehemu itakayochunguza kanuni zinazotumika katika kuungabisha vipashio vidogo ili kuunda vipashio vikubwa vyenye maana na maneno katika Kiswahili.