Enrolment options
Moduli hii inazingatia mambo muhimu ya isimujamii yanayoingiliana na kukamilishana na elimu ya lugha. Dhumuni la kozi ni kudadisi na kueleza uhusiano uliopo baina ya lugha na jamii. Somo hulenga hali mbalimbali za kijamii na jinsi zinavyoathiri matumizi ya lugha katika miktadha mbalimbali ya kijamii. Aidha, kozi itamuezesha mwanafunzi kudhibiti mbinu na ujuzi wa mawasiliano mwa watu mbalimbali kwa kuzingatia kaida za lugha husika. Itasaidia pia mwanafunzi kuhusisha mambo ya kiisimujamii katika maisha yake ya kielimu na kutambua kwa kiasi gani isimujamii huwa na uhusiano wa karibu na taaluma nyinginezo.
Background Colour
Font Face
Font Kerning
Font Size
Image Visibility
Letter Spacing
Line Height
Link Highlight
Text Alignment
Text Colour