Enrolment options
Moduli hii ya SWA3142 inazingatia vitengo mbalimbali vinavyojihusisha na uwezo wa kuifinyanga lugha pamoja na kuitumia vilivyo katika miktadha mbalimbali. Vitengo hivyo ni pamoja na leskikolojia, leskikografia, istilahia, semantiki, pragmatiki na utungaji kamusi. Ili mwanafunzi afuatilie moduli hii anapaswa kupitia katika moduli zingine ambazo humpa mwanga kuhusu dhana mbalimbali za kiisimu na namna zinapofanya kazi, mofolojia pamoja na sintaksia. Lengo kuu la moduli ni kumsaidia mwanafunzi katika mchakato wa kuweka matendoni zile dhana na nadharia zote kimatumizi na kimaandishi.
Background Colour
Font Face
Font Kerning
Font Size
Image Visibility
Letter Spacing
Line Height
Link Highlight
Text Alignment
Text Colour