Enrolment options
SWA1141: Utangulizi wa Lugha ya Kiswahili (DTP)
Semester 1
Moduli hii inahusu Utangulizi wa Lugha ya Kiswahili. Kwa hivyo, ni Moduli inayompa mwanafunzi ujuzi wa kutosha katika kuyaeleza maswala mbalimbali ya lugha na isimu kwa jumla. Ujuzi na uwezo utakaopatikana katika moduli hii utamsaidia mwanafunzi kufafanua kwa kiasi fulani maswala muhimu yanyohusiana na lugha ya Kiswahili na isimu kwa jumla. Moduli inatarajia pia kueleza vipashio mbalimbali vinavyoijenga lugha, na hata kudhihirisha na kufafanua viwango vya uchambuzi na sifa za lugha kama mfumo wa mawasiliano ya wanadamu. Hivyo basi, viwango vya uchambuzi wa kiisimu na Historia ya Kiswahili vitazumguziwa ili kukidhi haja ya mwanafunzi ya kuelewa lugha na isimu kwa jumla.