Enrolment options

SWA2142: NATHARI BUNILIZI NA USHAIRI WA KISWAHILI
Trimester 1

Moduli hii inakusudiwa kumuwezesha mwanafunzi kufanya tathimini ya maendeleo ya riwaya, hadithi fupi na ushairi wa Kiswahili. Aidha, moduli hii inakusudia kumuwezesha mwanafunzi kuwa na uwezo wa kufanya uhakiki wa riwaya, hadithi fupi na ushairi wa Kiswahili kwa kuzingatia  mikondo mbalimbali ya kisisasa na kijamii. 

Moduli hii ina jumla ya sehemu mbili: Nathari Bunilizi za Kiswahili katika sehemu ya Kwanza na Ushairi wa Kiswahili katika sehemu ya pili. Hivyo basi, sehemu hizi mbili zimegawanywa katika mada  zifuatazo:

1. Mada ya Kwanza inahusiana na Dhana za Bunilizi na Nathari

2. Mada ya pili ni Mwanzo wa Nathari Bunilizi Andishi 

3. Mada ya Tatu ni Maana ya Riwaya na Sifa za Riwaya za Kiswahili za Mwanzoni

4. Mada ya nne ni Mikondo na aina ya Riwaya za Riwaya ya Kiswahili

5.  Hadithi Fupi ya Kiswahili na Maendeleo Yake

6.  Nathari Bunilizi kama Nyenzo za Ufundishaji wa Lugha: Mfano wa Hadithi Fupi na Riwaya

5. Maana ya ushairi na Sifa bainifu za ushairi

7. Bahari za Ushairi wa Kiswahili

8. Historia Fupi ya Ushairi wa Kiswahili

9. Uhakiki wa  riwaya, hadithi fupi na Ushairi

Self enrolment (Student)
Self enrolment (Student)
Self enrolment (Student)
Self enrolment (Student)