Enrolment options
SWA1343: Mbinu za Uzungumzaji na Uandishi katika Kiswahili
Trimester 3
SWA 1343: MBINU ZA UZUNGUMZAJI NA UANDISHI KATIKA KISWAHILI
MADHUMUNI YA MODULI:
Lengo kuu la Moduli hii ni kumpa mwanafunzi uwezo wa kuzungumza na kuandika Kiswahili fasaha kwa kuzingatia kanuni za uandishi na uzungumzaji. Hivyo, mwishoni mwa moduli hii, wanafunzi wataweza:
- Kuandika kuhusu mada mbalimbali kwa kuzingatia kanuni za uakifishaji katika Kiswahili;
- Kuzungumzia mada maalumu kwa kutumia lugha fasaha;
- Kusikiliza taarifa mbalimbali katika matini tofauti na kubainisha hoja kuu zilizotolewa;
- Kusoma kwa makini matini mbalimbali kwa kufuata kanuni za lugha ya Kiswahili;
- Kutumia lugha ya Kiswahili kwa njia inayofaa katika miktadha mbalimbali.