Enrolment options

KI80141: STADI ZA MAWASILIANO
Trimester 1

Moduli hii inaweka mkazo katika kukuza umilisi wa kimawasiliano katika stadi nne za lugha: Kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika. Dhima mbalimbali za mawasiliano zinajadiliwa. Zaidi ya hivyo, mchakato wa mawasiliano unajadiliwa pamoja na aina mbalimbali za mawasiliano zilizopo. Aidha, vikwazo mbalimbali vya mawasiliano vinajadiliwa pamoja na utatuzi wa vikwazo vya mawasiliano.

 

Self enrolment as 'Student'

Self enrolment as 'Student'